Posts

Showing posts from July, 2017

Usajili: Athuman Idd Chuji huyu hapa arejea tena Ligi Kuu.

Image
Klabu Ya Ndanda Fc ya Mtwara imefanikiwa kuinasa saini ya Kiungo wa Zamani wa Yanga  Athumani Iddi ‘Chuji’ Chuji amejiunga na Ndanda Fc kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu hiyo kwa msimu wa 2017/2018. Juhudi zake za kurejea Ligi Kuu Bara zilionyesha kutokuwa na mafanikio hata alipojiunga na Mwadui FC ya Shinyanga ambayo licha ya kukaa misimu miwili, hakupata nafasi ya kucheza. Baada ya hapo, Chuji aliamua kujiweka kando mwa ligi hiyo na hivi karibuni aliibuka na kufanya vizuri katika michuano ya Ndondo FC. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Haya Hapa Majibu Ya Kikao cha Kamati Ya Nidhamu TFF.

Image
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, imekutana Jumapili Julai 30, 2017 katika Ukumbi wa Hosteli za TFF, zilizopo Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam yaliko Makao Makuu ya shirikisho. Kikao hicho, kimepitisha mambo mbalimbali ambako miongoni mwake ni mabadiliko ya Kanuni za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Miongoni mwa kanuni ziliguswa ni ya kuhusiana  na kujali afya za wachezaji pamoja na mikataba wanayoingia na klabu. Hivyo, TFF imeagiza msimu wa 2017/18 mchezaji atayesajiliwa hatapewa leseni ya kumruhusu kucheza mashindano husika kama vile Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL), Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili kama hatakamilisha masharti makuu matatu kwa mujibu wa kanuni. Masharti hayo ni kukatiwa Bima ya Matibabu, Kuidhinishwa afya yake ambayo mara baada ya fomu yake kupitishwa na Kamati ya Tiba ya TFF kwa mujibu wa Kanuni ya 18 (1) ya Ligi Kuu na Mkataba wake wa maandishi ‘hardcopy’ kuwasilisha TFF kwa mujibu wa...

Nafasi Za Kazi Singida United Fc.

Image
Klabu ya Singida United leo tarehe 31/07/2017 imetoa tangazo la kuitaji wafanyakazi baadhi kwenye klabu hiyo ambazo wametajwa hapa chini. Tunahitaji watu wawili kwenye nafasi mbili zifuatazo. Sifa elimu ya kazi husika, uzoefu, umri kuanzia 25-40,  makini na wanaotambua professionalism kwenye kazi. NAFASI HIZO NI 1.Daktari wa timu (wachezaji,) 2.Mpiga picha, awe na ujuzi kwenye. Kupiga picha aina zote, Graphics, Uandishi wa habari(Photo journalism), Video (editing). CV/Maombi yatumwe kabla ya 05/08/2017 singidaunited@yahoo.com festosanga52@gmail.com Imetolewa na Abdulrahaman Sima Katibu SINGIDA UNITED FC. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Usajili: Omega Same naye katua Lipuli

Image
Klabu ya Lipuli Fc ya Iringa iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara imedhamilia kufanya kweli baada ya leo kufanya sajili mbili ya kwanza ikiwa ya Mshambuliaji Malimi Busungu. Na nyingine ni kiungo Omega Same akitokea Ndanda pia Same amewahi kuichezea Yanga kabla ya kuhamia Ndanda. Omega Same amekamilisha Usajili huo kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kukitumikia kikosi cha Lipuli Msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Usajili: Rasmi Malimi Busungu amejiunga na Lipuli FC.

Image
Klabu ya Lipuli Fc, iliyopanda Ligi kuu Tanzania Bara msimu huu, imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Malimi Busungu. Lipuli inaonekana kutaka kuleta upizani mkali ligi kuu baada ya kufanikisha usajili wa Ditram Nchimbi kutoka Mbeya City sasa imemalizana na Busungu. Lipuli Fc, ya mkoani Iringa imemsajili Malimi Busungu kwa mkataba wa mwaka mmoja USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Usajili: Nemanja Matic Rasmi asaini Manchester United.

Image
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuinasa saini ya Kiungo Mserbia kutoka Chelsea kwa kwa uamisho wa kitita cha Pauni Milioni 40. Matic amekabidhiwa jezi namba 31 na kusaini mkataba wa miaka mitatu, na pia atakuwa akilipwa mshahara wa Pauni 140,000 kwa wiki. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Simba Kucheza Mechi Yao Ya Kwanza ya Kirafiki Kesho Afrika Kusini.

Image
Klabu ya Simba Kesho itacheza mchezo wake wa kwanza huko Afrika Kusini kati ya ile miwili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. Mchezo huo utakuwa kati ya Simba ya Tanzania na Orlando Pirates ambao ni mabigwa wa zamani wa Afrika iliyoko huko huko Afrika Kusini. Orlando Pirates ndio klabu maarufu nchini Afrika Kusini Klabu hiyo imaeahidi kuanzisha wachezaji wao wote wakali ili kuwapa maandalizi ya kutosha Simba. Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Orlando Pirates uliopo katika Jiji la Johannesburg Afrika Kusini. Simba watacheza mechi nyingine ya na ya mwisho siku ya Alhamisi kati ya Mabigwa wa sasa chini humo Klabu ya Bidvest. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Usajili: Aishi Manula amalizana na Simba kuungana na wenzake kesho Afrika Kusini.

Image
Klabu ya Simba SC: imethibitisha kumalizana na Golikipa nambari moja wa Tanzania Aishi Manula kupitia kwa Msemaji wa Klabu hiyo Haji Marana amesema Golikipa Aishi Salum Manula kesho tarehe moja anatarajiwa kujiunga rasimi na kambi ya klabu yetu ya Simba iliopo Eden Vale Johannesburg, nchini Afrika kusini. Golikipa huyo namba moja wa Tanzania tayari amemalizana na Klabu ya Simba kwa kila kitu tayari kuitumikia Simba msimu ujao. Aishi Manula ameahidi kuwapa furaha wanachama na mashabikj wa klabu ya Simba sambamba na kuisadia timu timu kushinda mataji yanayowaniwa na Klabu hiyo. Pia klabu ya Simba kesho inawaalika waandishi wa habari kwenye mkutano wake utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Kilenga uliopo jengo la New Millenium,mkabala na kijiji cha Makumbusho,Kijitonyama hapa jijini Dar es salaam Mkutano huo ni kwa waandishi wa habari tu, na unatarajiwa kuanza saa Nne na nusu asubuhi. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA...

Simba SC: Aishi Manula ataungana na Klabu Ya Simba Kesho Afrika Kusini.

Image
Golikipa wa kimataifa wa Tanzania Aishi Salum Manula kesho tarehe moja,anatarajiwa kujiunga rasimi na kambi ya klabu yetu ya Simba iliopo Eden Vale Johannesburg, nchini Afrika kusini. Manula ambae ndio Golikipa namba moja wa nchi hii ameshamalizana kila kitu kuhusu kujiunga na klabu yetu,na ameahidi kuwapa furaha wanachama na washabiki wetu,sambamba na kuisaidia klabu kushinda mataji itakayowania msimu huu. Wakati huo huo kesho timu ya Simba inatarajiwa kucheza mechi ya kwanza ya maandalizi ya msimu dhidi ya mabingwa wa zamani wa Afrika Orlando Pirates ya nchini Afrika kusini. Orlando ambayo ndio klabu maarufu zaid nchini humo,imeahidi kushusha silaha zake zote muhimu ili kuwapa maandalizi ya kutosha Simba,Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwenye dimba la Orlando liliopo jijini Johannesburg. Mechi nyingine ya mwisho itakayochezwa na Simba nchini humo itapigwa siku ya Alhamis ya wiki hii dhidi ya mabingwa wa soka nchini humo kwa sasa Bidvest Mwisho klabu ya Simba kesho ina...

Tegemea Kumwona Kimataifa Msimu Ujao.

Image
Siku za dirisha la usajili zikikaribia ukingoni Tanzania Bara, Klabu ya Yanga iko karibuni kuinasa saini ya Nahodha wa timu ya Tanzania, taifa Stars na Klabu ya Azam FC. Baada ya jana kufanikisha kuipata saini ya Rafael Daud mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Yanga Hussein Nyika leo amepiga hodi kwa Klabu ya Azam kwa ajili ya kumalizana na Nahodha wa Klabu hiyo Himid Mao. Tukumbuke jana Hussein Nyika aliwatuliza mashabiki wa Yanga kuwa wawe watulivu na wasubiri bomu jingine litakalowaumiza wadau wengi wa soka haswa wale wa Dar na akisisitiza kuwa bomu hilo sio la kawaida kawaida kama la jana ni dhahili Himid Mao ataungana na Klabu ya Yanga msimu huu mpya endelea kuwa nasi kupata habari zote za Michezo na Usajili. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Post Ya Ibrahim Ajib baada ya Simon Msuva kusajiliwa Morocco

Image
Mshambuliaji mpya wa Yanga akitokea Simba Ibrahim Ajib katika ukurasa wake wa twitter jana ameandika maneno machache lakini ya muhimu kwa Mtanzania Mwenzake Aliyesajiliwa Morocco siku 3 zilizopita Simon Msuva.  Namna ya kuwa na furaha ni kubadili hasi kuwa chanya, awaye yeyote asiibe furaha yako na ushukuru kwa ulichonacho. Kila la heri. SHUJAA!💪⚽ USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Video: As Roma 1-1 Juventus- penalty 4-5 July 30/2017.

Image
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Haya Hapa Magazeti Yote Ya Michezo Ya Leo Jumatatu Ya tarehe 31 July 2017

Image
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Haya Hapa Magazeti Yote Ya Leo Jumatatu Ya tarehe 31 July 2017

Image
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.