Usajili: Omega Same naye katua Lipuli
Klabu ya Lipuli Fc ya Iringa iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara imedhamilia kufanya kweli baada ya leo kufanya sajili mbili ya kwanza ikiwa ya Mshambuliaji Malimi Busungu.
Na nyingine ni kiungo Omega Same akitokea Ndanda pia Same amewahi kuichezea Yanga kabla ya kuhamia Ndanda.
Omega Same amekamilisha Usajili huo kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kukitumikia kikosi cha Lipuli Msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
Comments
Post a Comment