UCHAMBUZI MWENENDO NA MAENDELEO YA SIMBA SC
UCHAMBUZI MENENDO NA MAENDELEO YA SIMBA SC Katika mechi tano za mwanzo mzunguko wa kwanza ligi kuu 1)SIMBA 7 V 0 RUVU 2)SIMBA 0 V 0 AZAM 3)SIMBA 3 V 0 MWADUI 4)MBAO 2 V 2 SIMBA 5)STAND 1 V 2 SIMBA Katika mechi tano za mwanzo mzunguko wa pili ligi kuu 1) RUVU 0 VS 3 SIMBA 2) SIMBA 1 VS 0 AZAM 3) MWADUI 2 VS 2 SIMBA 4) SIMBA 5 VS 0 MBAO 5) SIMBA 3 VS 3 STAND JINSI MZUNGUKO WA KWANZA ULIVYOENDA MWANZO NA MZUNGUKO WA PILI UNAENDA IVYO IVYO Tofauti kati ya mzunguko wa kwanza na wapili kwa mechi 5 za mwanzo 1) Simba ilikusanya point 11 na sasa imekusanya pointi 11. 2) Simba ilifunga goli 14 na sasa imefunga goli 14. 3) Simba ilifungwa goli 3 na sasa imefungwa goli 5. 4) magoli ya kufungwa yalifungwa na timu 2 na sasa magoli yamefungwa na timu 2. 5) simba ilikuwa na cleansheets 3 na sasa ina cleansheets 3. 6) simba ilikuwa kileleni mwa msimamo na sasa ipo kileleni mwa msimamo. Hili ndilo soka pamoja na kwamba yameongelewa mengi kwa droo ya jana kati ya cham...