Posts

Showing posts with the label Azam fc

YANGA HATARINI KUSHUSHWA NA AZAM HADI NAFASI YA 3

Image
Mzunguko wa 21 Ligi Kuu Bara unaendelea jioni ya leo kwa viwanja vinne kutimua vumbi jioni ya leo. Baada ya kuilazimisha sare ya mabao 3-3 Simba katika uwanja wa taifa, Dar es Salaam, Stand United itakuwa mwenyeji dhidi ya Tanzania Prisons, mechi ikichezwa CCM Kambarage, Shinyanga. Mechi nyingine itazikutanisha Lipuli FC ambayo itawakaribisha Njombe Mji FC katika uwanja wa Sabasaba mjini Iringa. Nayo klabu ya Majimaji iliyo mwisho mwa msimamo wa ligi, itakuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani kucheza na Ndanda FC. Aidha Azam FC nao watakuwa katika uwanja wake wa nyumbani, kucheza na Mwadui FC ya Shinyanga. Mpaka sasa Azam wana alama 38 tofauti ya alama 2 na Yanga iliyo na 40, hivyo endapo watashinda leo, watapanda juu na kuishusha Yanga mpaka nafasi ya pili. Mechi zote zitaanza saa 10:00 jioni isipokuwa ya Azam na Mwadui itakayoanza saa moja jioni. RATIBA KAMILI IKO HIVI MZUNGUKO WA 21 👉Alhamis, 08 March 2018 16:00 Stand United vs Tz Prisons 16:00 Lipuli Fc vs Njombe ...

AZAM FC TUNAKUJA KIVINGINE TENA

Image
    Na Yego Sholla Wachezaji wa Azam fc baada ya kupewa mapumziko ya siku moja, kikosi cha Azam fc , jioni ya jana  kimerejea na kambini na kufanya  mazoezini tayari kwa kujiandaa na mchezo ujao wa ligi  kuu Tanzania bara Vodacom Premier league dhidi ya Mwadui mchezo huo utakaofanyika katika  Uwanja wa Azam Complex Alhamisi hii mida ya saa 1.00 usiku.