Usajili: Rasmi Malimi Busungu amejiunga na Lipuli FC.
Klabu ya Lipuli Fc, iliyopanda Ligi kuu Tanzania Bara msimu huu, imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Malimi Busungu.
Lipuli inaonekana kutaka kuleta upizani mkali ligi kuu baada ya kufanikisha usajili wa Ditram Nchimbi kutoka Mbeya City sasa imemalizana na Busungu.
Lipuli Fc, ya mkoani Iringa imemsajili Malimi Busungu kwa mkataba wa mwaka mmoja
Comments
Post a Comment