Usajili: Aishi Manula amalizana na Simba kuungana na wenzake kesho Afrika Kusini.
Klabu ya Simba SC: imethibitisha kumalizana na Golikipa nambari moja wa Tanzania Aishi Manula kupitia kwa Msemaji wa Klabu hiyo Haji Marana amesema Golikipa Aishi Salum Manula kesho tarehe moja anatarajiwa kujiunga rasimi na kambi ya klabu yetu ya Simba iliopo Eden Vale Johannesburg, nchini Afrika kusini.
Golikipa huyo namba moja wa Tanzania tayari amemalizana na Klabu ya Simba kwa kila kitu tayari kuitumikia Simba msimu ujao.
Mkutano huo ni kwa waandishi wa habari tu, na unatarajiwa kuanza saa Nne na nusu asubuhi.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP
NO:0756658100
TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.
Golikipa huyo namba moja wa Tanzania tayari amemalizana na Klabu ya Simba kwa kila kitu tayari kuitumikia Simba msimu ujao.
Aishi Manula ameahidi kuwapa furaha wanachama na mashabikj wa klabu ya Simba sambamba na kuisadia timu timu kushinda mataji yanayowaniwa na Klabu hiyo.Pia klabu ya Simba kesho inawaalika waandishi wa habari kwenye mkutano wake utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Kilenga uliopo jengo la New Millenium,mkabala na kijiji cha Makumbusho,Kijitonyama hapa jijini Dar es salaam
Mkutano huo ni kwa waandishi wa habari tu, na unatarajiwa kuanza saa Nne na nusu asubuhi.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
Comments
Post a Comment