Tegemea Kumwona Kimataifa Msimu Ujao.
Siku za dirisha la usajili zikikaribia ukingoni Tanzania Bara, Klabu ya Yanga iko karibuni kuinasa saini ya Nahodha wa timu ya Tanzania, taifa Stars na Klabu ya Azam FC.
Baada ya jana kufanikisha kuipata saini ya Rafael Daud mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Yanga Hussein Nyika leo amepiga hodi kwa Klabu ya Azam kwa ajili ya kumalizana na Nahodha wa Klabu hiyo Himid Mao.
Tukumbuke jana Hussein Nyika aliwatuliza mashabiki wa Yanga kuwa wawe watulivu na wasubiri bomu jingine litakalowaumiza wadau wengi wa soka haswa wale wa Dar na akisisitiza kuwa bomu hilo sio la kawaida kawaida kama la jana ni dhahili Himid Mao ataungana na Klabu ya Yanga msimu huu mpya endelea kuwa nasi kupata habari zote za Michezo na Usajili.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
Comments
Post a Comment