Post Ya Ibrahim Ajib baada ya Simon Msuva kusajiliwa Morocco
Mshambuliaji mpya wa Yanga akitokea Simba Ibrahim Ajib katika ukurasa wake wa twitter jana ameandika maneno machache lakini ya muhimu kwa Mtanzania Mwenzake Aliyesajiliwa Morocco siku 3 zilizopita Simon Msuva.
Namna ya kuwa na furaha ni kubadili hasi kuwa chanya, awaye yeyote asiibe furaha yako na ushukuru kwa ulichonacho.Kila la heri. SHUJAA!💪⚽
Comments
Post a Comment