Usajili: Nemanja Matic Rasmi asaini Manchester United.
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuinasa saini ya Kiungo Mserbia kutoka Chelsea kwa kwa uamisho wa kitita cha Pauni Milioni 40.
Matic amekabidhiwa jezi namba 31 na kusaini mkataba wa miaka mitatu, na pia atakuwa akilipwa mshahara wa Pauni 140,000 kwa wiki.
Comments
Post a Comment