Nafasi Za Kazi Singida United Fc.
Klabu ya Singida United leo tarehe 31/07/2017 imetoa tangazo la kuitaji wafanyakazi baadhi kwenye klabu hiyo ambazo wametajwa hapa chini.
Tunahitaji watu wawili kwenye nafasi mbili zifuatazo.
Sifa elimu ya kazi husika, uzoefu,
umri kuanzia 25-40,
makini na
wanaotambua professionalism kwenye kazi.
NAFASI HIZO NI
1.Daktari wa timu (wachezaji,)
2.Mpiga picha, awe na ujuzi kwenye.
Kupiga picha aina zote,
Graphics,
Uandishi wa habari(Photo journalism),
Video (editing).
CV/Maombi yatumwe kabla ya 05/08/2017
singidaunited@yahoo.com
festosanga52@gmail.com
Imetolewa na
Abdulrahaman Sima
Katibu
SINGIDA UNITED FC.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP
NO:0756658100
TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.
Tunahitaji watu wawili kwenye nafasi mbili zifuatazo.
Sifa elimu ya kazi husika, uzoefu,
umri kuanzia 25-40,
makini na
wanaotambua professionalism kwenye kazi.
NAFASI HIZO NI
1.Daktari wa timu (wachezaji,)
2.Mpiga picha, awe na ujuzi kwenye.
Kupiga picha aina zote,
Graphics,
Uandishi wa habari(Photo journalism),
Video (editing).
CV/Maombi yatumwe kabla ya 05/08/2017
singidaunited@yahoo.com
festosanga52@gmail.com
Imetolewa na
Abdulrahaman Sima
Katibu
SINGIDA UNITED FC.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
Comments
Post a Comment