Simba Kucheza Mechi Yao Ya Kwanza ya Kirafiki Kesho Afrika Kusini.

Klabu ya Simba Kesho itacheza mchezo wake wa kwanza huko Afrika Kusini kati ya ile miwili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Mchezo huo utakuwa kati ya Simba ya Tanzania na Orlando Pirates ambao ni mabigwa wa zamani wa Afrika iliyoko huko huko Afrika Kusini.
Orlando Pirates ndio klabu maarufu nchini Afrika Kusini Klabu hiyo imaeahidi kuanzisha wachezaji wao wote wakali ili kuwapa maandalizi ya kutosha Simba.
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Orlando Pirates uliopo katika Jiji la Johannesburg Afrika Kusini.

Simba watacheza mechi nyingine ya na ya mwisho siku ya Alhamisi kati ya Mabigwa wa sasa chini humo Klabu ya Bidvest.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA WHATSAPP NO:0756658100 TOA MAONI YAKO HAPA USITUKANE.

Comments

Popular posts from this blog