Posts

Showing posts from January, 2019

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA BIASHARA UNITED (ASFC)

Image
Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Biashara United, mchezo wa Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam leo saa 19:00. 1:Ramadhani Kabwili 2:Paulo Godfrey 3:Gadiel Michael 4:Kelvin Yondani 5:Andrew Vicent 6:Feisal Salum 7:Mrisho Ngasa 8:Pius Buswita 9:Heritier Makambo 10:Amissi Tambwe 11:IIbrahim Ajib (C) Kikosi cha Akiba Klaus Kindoki Juma Abdul Abdallah Shaibu Papi Tshishimbi Thabani Kamusoko Deus Kaseke Matheo Anthony Install /Update Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi =>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

KIUNGO STAND UNITED AHOJIWA HUKUSU URAIA WAKE

Image
Kiungo wa Stand United Afidh Mussa ambaye inaelezwa uraia wake una utata, amehojiwa na Idara ya Uhamiaji mkoani Shinyanga na kutakiwa asiondoke nje ya mkoani huo wakati uchunguzi wa suala lake ukiendelea. Yanga imepeleka malalamiko TFF ikipinga mchezaji huyo anayedaiwa kuwa raia wa Burundi kusajiliwa na Stand United kama Mtanzania. Afidh alicheza katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Stand United dhidi ya Yanga uliomalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0 Licha ya kuzaliwa nchini Tanzania, inadaiwa Afidh ana uraia wa Burundi Kulingana na gazeti la Mwanaspoti, Yanga imenasa vielelezo vinavyothibitisha kiungo huyo kuwa na uraia wa Burundi Moja ya vielelezo hivyo ni leseni ya mchezaji huyo aliyoitumia mwaka 2017 katika ligi kuu ya Burundi iliyotolewa na Shirikisho la soka nchini humo likimtambua Afidh kuwa raia wa Burundi Katika leseni hiyo iliyotolewa Septemba 14 2017, Afidh anatumia jina la Hererimana Afizi Mussa. Ametambulishwa kama raia wa Burundi...

Tatizo la Kukosa Nguvu za Kiume Limekuwa Likiwaathiri Watu Wengi Sana...Tiba Hii Hapa

Image
Wanaume wengi huathirika Kisaikolojia Hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wenzao, Kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuazia nchi 6-7-8 unene sm 2-4 vinginevyo mtu huyu anatatizo. ZIPO SABABU NYINGI ZINAZOSABABISH A TATIZO HILI: BAADHI NI: UPUNGUFU WA vichocheo hornen gesstrojen ambapo mwanaume anapobalehe. vichocheo hivi hornes huchochea ukuaji wa uume chango ambaro hushambulia nerva ambayo huaribu kabisa ukuaji wa uume PUNYETO Ambaye huathiri misuli ya uume. NGIRI Anbayo huleta maumivu ya tumbo na kuunguruma na kujaa gesi na kutopata choo vizuri Vilevile kuna kisukari presha maumivu ya kiuno mgongo nk. wanauume wengi wamekuwa wakiteseka sana na tatizo hili bila kupata tiba sahihi ya kutibu tatizo hii: SUPER SHAFT Ni dawa ya mitishamba nyenye uwezo mkubwa wa kuogeza nguvu za kiume maradufu. Itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 30 pia inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa NYATI POWER Inarefusha na kunenepesha maumbile madogo y...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya January 31

Image
from UDAKU SPECIAL BLOG

Majina ya watu 14,200 wanaoishi na virusi vya UKIMWI yavujishwa mtandaoni

Image
Zaidi ya majina 14,000 ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi nchini Singapore yamevujishwa mtandaona, hii ni baada ya watu wasiojulikana kudukua taarifa hizo za siri. Mamlaka za serikali zinazojihusisha na masuala ya ulinzi na usalama mitandaoni nchini humo, zinaamini aliyehusika na udukuzi huo huenda ni Mmarekani mmoja aliye na virusi vya ukimwi ambaye mpenzi wake alishawahi kuwa daktari wa ngazi ya juu nchini Singapore, hii ni kwa mujibu wa shirika la utangazaji la BBC . Mmarekani huyo, aliyetambulika kwa jina la Mikhy Farrera-Brochez, imeelezwa kuwa alishawahi kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha na dawa za kulevya mwaka 2016. Mwaka 2017, Mikhy alipimwa na kubainika kuwa ameathirika, lakini taarifa zake mpaka sasa hazipatikani mtandaoni na hajulikani alipo mpaka sasa hivi na serikali inamtafuta. Mpenzi wa Mikhy, Ler Teck Siang raia wa Singapore ambaye ni daktari mkubwa nchini humo, amekamatwa na vyombo vya dola kwa tuhuma kuwa alimsaidi, Farrera-Brochez kuweka t...

'Birthday' ya Dada Yamtesa Neymar Kwa Miaka Mitano

Image
Baada ya siku kadhaa kupita tangu nyota wa PSG Neymar Jr alipotiwe kuumia kifundo cha mguu, leo imeweka wazi kuwa winga huyo atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 10. Neymar akiwa na dada yake Rafaella Taarifa za kuumia kwa Neymar zimegubikwa na utata hususani kuelekea Februari 11, ambayo huwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa dada yake Rafaella Santos na hawajawahi kukosa kuungana na dada yake huyo kwenye siku hiyo tangu atue kwenye soka la Ulaya mwaka 2013. Neymar mwenye miaka 26, sasa amekosa michezo kadhaa ya mwezi wa pili kwa miaka mitano mfululizo ambapo huwa anaumia mwishoni wa Januari au mwanzoni mwa Februari. Msimu wa 2014/15 akiwa Barcelona Neymar alikosa mchezo katika tarehe za siku ya kuzaliwa za dada yake kutokana na kutumikia adhabu ya kadi nyekundu na alisafiri hadi Brazil kujumuika na dada yake. Msimu wa 2015/16 akiwa hapo hapo Barcelona Neymar alikosa michezo miwili ya mwezi Februari ambapo pia ilikuwa ni kutokana na kadi nyekundu pia alihudhuria siku ya kuz...

Skendo ya Ushoga na Ubaguzi wa Rangi, zapelekea mkali Empire Jamal, Kudundwa na Wahuni Marekani

Image
Kama unaikumbuka series ya Empire iliyojizolea umaarufu kutokana na waigizaji husika walioshiriki katika series hiyo, Ikumbwe hii ni moja ya series ambayo imeangaliwa sana na kuwapa heshima wakubwa washiriki wa series hiyo. Na hata siku ya jumatatu mmoja ya washiriki wakubwa wa series hiyo mwanadada Taraji P alimaarufu Cookie Lyon alipewa heshima Hollywood pia akiwa kwenye kipengele cha msanii mwenye hisia, na umaarufu wote amejizolea kutokana series hii. Sasa siku ya jana ilikuwa mbaya sana kwa mmoja ya washiriki anayejulikana kwa jina la Jussie Smollett alimaarufu Jamal Lyon. Taarifa zilizotoka jana ziliripoti kuwa, mwigizaji huyo wa Empire alishambuliwa na kupigwa vibaya na wanaume wawili wasiojulikana mjini Chicago kwa sababu za ubaguzi wa rangi pamoja na tuhuma za ‘Ushoga’ yaani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Wanaume hao walimpiga wakati akiingia kwenye mgahawa kupata chakula, walimfunga kamba shingoni na kumpiga vibaya kiasi cha kumvunja mbavu. Walimtolea ...

VIDEO: RC Gambo Abaini Madudu Yanayofanyika Mauaji ya Twiga

Image
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amepokea Taarifa ya kamati maalumu iliyohusisha watu kutoka kada mbalimbali aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza  mauaji ya wanyama pori hasa Twiga wilayani Longido mkoani Arusha katika kipindi cha miaka miwili. Akizungumza na wanahabri ofisini kwake Leo Gambo amesema baada ya kamati hiyo kufanya uchunguzi  wa kina ilibaini kuwa katika kipindi cha miaka miwili  2017/2018; jumla ya Twiga 35 walikufa kutokana na sababu mbalimbali lakini Twiga ambao walikufa kutokana na sababu za ujangili ni 25 Gambo amesema Kamati hiyo imegundua kwamba moja ya sababu ambazo zinachangia ujangili wa Twiga kuongezeka kuwa ni pamoja na sababu za kibiashara; ambapo kamati hiyo ilipata taarifa ya watu wasiopungua 25 ambao wanatajwa kuhusika na masuala ya ujangili Wilayani Longido. Aidha Gambo ameiomba wizara ya maliasili na Utalii kuunda Timu ya uchunguzi kuhusu malalamiko dhidi ya Kampuni ya Uwindaji ya Green Milles kuhusiana na kitalu kudaiwa na vijij...

TANZIA: Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite afariki dunia

Image
Mzee Jumanne Ngoma ambaye aligundua Madini ya Tanzanite amefariki leo  January 30, 2019  ktk Hospital ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa  matibabu. Mtoto wa marehemu, Hassan Ngoma amesema, “Ni kweli Mzee amefariki leo jioni hii hapa Muhimbili,” amesema Ngoma. Mwaka jana, Rais John Magufuli akizindua ukuta wa mgodi wa Tanzanite, Mirerani mkoani Manyara alimzawadia Sh.100 milioni kama shukrani kwa mchango wake kwa kugundua madini hayo. from UDAKU SPECIAL BLOG

Matokeo Kidato Cha Nne Yamtesa Polisi....Afukuzwa Kibarua Kwa Kushiriki Kuiba Mtihani

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amemfukuza kazi askari wa jeshi la polisi aliyekuwa akihudumu kwenye kituo cha Malinyi, PC Hamisi kwa kuhusika kwenye udanganyifu wa mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka uliopita.  Askari huyo alikuwa mmoja wa maafisa usalama waliokuwa na jukumu la kusimamia mitihani hiyo, wakati mitihani ilipofanyika 2018. Askari huyo ambaye alitajwa kuwa moja ya watu ambao walipanga njama kuhusu zoezi la ufanyaji wa mitihani katika kituo hicho na kusababisha wasimamizi wa mitihani kukitilia shaka kituo hicho na kuanza kukifanyia uchunguzi. Januari 24, 2019 Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) lilitangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38, huku likifuta matokeo ya shule moja. from UDAKU SPECIAL BLOG

Lady Jay Dee Responds After She Was Severely Criticized For Wearing a See Through Dress Without Panties or bra (Photos)

Image
Tanzanian songbird Lady JayDee courted controversy when she stepped out in a black see-through dress which made many people uncomfortable. The veteran singer rocked the see-through dress while appearing for a video shoot, she was shooting video for her new song. The see-through dress only covered Lady JayDee’s private areas while leaving the vast majority of her body exposed to anyone who cared to look. The singer also didn’t wear any panties or bra, you can easily tell from her see-through dress. The fact that Lady JayDee was literally naked is what sparked uproar on social media. The singer has since come out to confront her critics who castigated her for wearing the indecent dress. Jay says that she only get comments and likes when she dresses ‘indecently’ whereas when she wears a ‘normal’ cloth she gets no reaction at all. “Hivi wale watu wa maadili Mbona picha za Hivi huwa hamlike wala hamcomment kwa wingi mkiwekewa? Haya maadili hayo hapo sasa inakuwaje? Mbona ha...

WANANCHI,SERIKALI WAONDOA CHANGAMOTO WANAFUNZI WA SEKONDARI KUTEMBEA UMBALI MREFU KATA YA OLDONYOWASI

Image
Na Woinde Shizza ,Globu ya jamii Arusha WANAFUNZI ambao wamemaliza masomo elimu ya darasa la saba mwaka 2018 na kufanikiwa kujiunga na elimu ya sekondari wanaoishi Kata ya Odonyowasi katika Halmashauri ya Arusha, wameepukana na adha ya kutembea umbali mrefu baada ya Serikali  kuwapangia Sekondari ya Oldonyowasi ambayo ni mpya na ipo ndani ya kata hiyo.  Kabla ya kukamilika kwa sekondari hiyo wanafunzi wanaosoma masomo ya sekondari kutoka ndani ya kata hiyo walikuwa wakitembea umbali wa kilometa 16 kwenda na kurudi shuleni katika Shule ya Sekondari ya Oldonyosambu.Umbali huo ulikuwa changamoto kubwa kwa wanafunzi ikiwemo ya wengi wao kutofanya vizuri kwenye masomo na wengine kuacha shule. Hivyo wazazi, walezi na wananchi wa Kata hiyo waliweka mkakati kuhakikisha wanaondoa changamoto hiyo ya wanafunzi kutembea umbali mrefu.Waliamua kuchangishana fedha pamoja na kuomba msaada wa wadau wa maendeleo wakiwamo TANAPA na Serikali kupitia mradi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TA...

WAZIRI UMMY ATOA MABATI 200 KUSAIDIA UJENZI SHULE TANO ZA SEKONDARI JIJINI TANGA

Image
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi Mabati 200 Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi Mabati 200 Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Hamis Mkoba WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi Mabati 200 Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Hamis Mkoba WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia akimkabidhi Mabati 200 Naibu Meya wa Jiji la Tanga Mohamed Haniu baa...

KADETFU NA BUKOBA DC WAINGIA MAKUBALIANO RASMI YA KUFANYA KAZI PAMOJA

Image
  Anaandika Abdullatif Yunus - Kagera. Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Kagera Development and Credit Revolving Fund (KADETFU) lenye Makao Makuu yake Manispaa ya Bukoba, limeiingia makubaliano rasmi na Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ya kufanya pamoja Shughuli mbalimbali za Kimaendeleo kwa Kushirikiana pande zote mbili. Hapo awali KADETFU wamekuwa wakifanya kazi mbalimbali za kimaendeleo kwa ushirikiano mkubwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba kwa Muda mrefu pasina kuwepo Mkataba wa Maelewano, licha ya kuwa shughuli hizo zikiwemo za Kijamii zimekuwa zikifanikiwa kwa kiwango Kikubwa kama yalivyo matarajio yao. Miongoni mwa shughuli zilizotekelezwa na KADETFU kwa kushirikiana na Halmashauri ya Bukoba ni pamoja na Kujengeana uwezo Kati ya Wataalamu wa pande zote mbili (KADETFU na Halmashauri), kubadilishana uzoefu wa masuala mbalimbali, kusaidiana katika shughuli za Kazi, Kuwajengea wananchi uwezo katika masuala ya mipango na bajeti, Masuala ya Upashanaji Habari, Ununuzi w...