Posts

Showing posts from September, 2017

MATOKEO & MSIMSAMO LIGI KUU ENGLAND {EPL} SEPTEMBER 30-2017

Image
Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL imeendelea leo kwa jumla ya michezo 7 katika viwanja tofauti tofauti na haya ni matokeo yake na msimamo kabla ya mechi za kesho. FT Huddersfield Town 0 - 4 Tottenham Hotspur FT AFC Bournemouth 0 - 0 Leicester City FT Manchester United 4 - 0 Crystal Palace FT Stoke City 2 - 1 Southampton FT West Bromwich Albion 2 - 2 Watford FT West Ham United 1 - 0 Swansea City FT Chelsea 0 - 1 Manchester City Msimamo uko hivi baada ya mechi za leo September 30-2017 Team Name P W D L F A GD Pts 1:Manchester City 7 6 1 0 22 2 20 19 2:Manchester United 7 6 1 0 21 2 19 19 3:Tottenham Hotspur 7 4 2 1 14 5 9 14 4:Chelsea 7 4 1 2 12 6 6 13 5:Watford 7 3 3 1 11 12 -1 12 6:Liverpool 6 3 2 1 12 11 1 11 7:Arsenal 6 3 1 2 9 8 1 10 8:Burnley 6 2 3 1 6 5 1 9 9:Newcastle United 6 3 0 3 6 5 1 9 10:West Bromwich Albion 7 2 3 2 6 8 -2 9 11:Huddersfield Town 7 2 3 2 5 7 -2 9 12:Southampton 7 2 2 3 5 7 -2 8 13:Stoke City 7 2 2 3 7 11 -4 8 14:Brighton &...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA SEPTEMBER 30-2017

Image
Huu ni Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017-2018 baada ya mechi 7 za leo Jumamosi September 30-2017.   KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

MATOKEO MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA SEPTEMBER 30-2017

Image
Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo kwa mzunguko wa tano, mwendelezo Ligi Kuu Tanzania Bara 2017-2018 kwa Jumla ya viwanja 7 kuwaka moto.  1:Katika Uwanja wa Uhuru tumeshuhudia Vinara wa Ligi Mtibwa Sugar wakilazimisha sare ya bila kufungana na Mabingwa wa Ligi 2016-2017 Young African. Matokeo katika Viwanja vingine  2:Azam Fc imelazimishana sare ya goli 1-1 huku goli la Singida United likifungwa na Danny Usenginmana na la Azam Fc limefunga na Pauo Peter. 3:Mbao Fc ya Mwanza yenyewe imepata sare nyingine baada ya ile ya Simba kufungana 2-2 pale CCM Kirumba leo imepata sare nyingine kutoka kwa Maafande wa Tanzania, Tanzania Prisons, goli la Mbao Limefungwa na Kotecha huku la Tanzania Persons likifungwa na Mpepo. 4:Mwadui Fc nayo imetoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Mbeya City, magoli ya Mwadui yamefungwa na Benard yote mawili na ya Mbeya City yamefungwa na Mohammed Samatta na Mkopi. 5:Ndanda Fc imepata ushindi wa goli 2-1 ikiwa nyumbani ilipoikaribisha L...

TAZAMA HAPA MECHI LIVE CHELSEA VS MANCHESTER CITY

Image
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE CHELSEA VS MANCHESTER CITY SAA 19:30 KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

TAZAMA HAPA MECHI LIVE MANCHESTER UNITED VS CRYSTAL PALACE

Image
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE MANCHESTER UNITED VS CRYSTAL PALACE SAA 17:00 KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

TAZAMA HAPA MECHI LIVE AFC BOURNEMOUTH VS LEICESTER CITY

Image
Mechi hii itaanza saa 17:00 jioni hii BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE AFC BOURNEMOUTH VS LEICESTER CITY SAA 17:00 KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.   W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA MBEYA CITY KINACHOANZA DHIDI YA MWADUI FC SEPTEMBER 30-2017.

Image
Kikosi cha Mbeya City kinachoanza dhidi ya Mwadui Fc saa 16:00 1:Chama 2:Kabanda 3:Mwasapili 4:Kyaruzi 5:Sankani 6:Lungenga 7:Ngasa 8:Samata 9:Hamisi 10:Mkopi 11:Ambokile Kikosi cha Akiba 1:Fikirini 2:Shamte 3:Mwakatundu 4:Hangaya 5:Omary 6:Seleman 7:Babu KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA MTIBWA KINACHOANZA DHIDI YA YANGA SEPTEMBER 30-2017

Image
Kikosi cha Mtibwa Sugar kinachoanza dhidi ya Yanga Sc saa 16:00 jioni katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. 1:Benedictor Tinoco 2:Salum Kanoni 3:Issa Rashidy 4:Cassian Ponera 5:Dickson Daudi  6:Shabaan Nditi  7:Ally Makarani 8:Mohamed Issa 9:Stamil Mbonde  10:Hassan Dilunga  11:Seleman Kihimbwa  Kikosi cha Akiba 1:Abdallah Dida Makangana 2:Rogers Gabriel 3:Jamal Masenga  4:Henry Joseph  5:Ismail Aidan  6:Saleh khamis  7Kelvin Sabato  8:Hussen Javu .  KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA NDANDA SC KINACHOANZA DHIDI YA LIPULIFC SEPTEMBER 30-2017

Image
Kikosi cha Ndanda Sc  kinachoanza dhidi ya Lipuli FC saa 16:00 katika Uwanja wa Nangwada Mtwara 1.Jeremia Kisubi -18 2.Wiliam Lucian -3 3.Ayoub Masoud -2 4.Hemed Khoja-21 5.Ibrahim Job-13 6.Jabir Azizi -25 7.Jacob Masawe -17 8.Majid Bakari -12 9.Kelvin Friday -14 10.Nassoro Kapama-10 11.Ophen Fransis-29 AKIBA: 1.Diel Hassan -30 2.Salum Minelly -8 3.Ally Mohammed -20 4.Elisha Joseph -2 5.Ahmad Msumi -24 6.Abdallah Waziri -22 7 .Abdul Hamisi -9 KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.  WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA AZAM FC KINACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED SEPTEMBER 30-2017

Image
Kikosi cha Azam Kinachoanza dhidi ya Singida United saa 16:00 jioni katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma. 1:Razak 2:Swaleh 3:Bruce 4:Agrey 5:Daniel 6:Yakubu 7:Himid 8:Braison 9:Sureboy 10:Yahaya Mohammed 11:Mbaraka Yusuph Kikosi cha Akiba 1:Mwadini 2:Mwantika 3:Domayo 4:Singano 5:Kipagwile 6:Yahya Zayd 7:Paul Peter KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.  WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA SINGIDA UNITED KINACHOANZA DHIDI YA AZAM FC SEPTEMBER 30-2017

Image
Kikosi cha Singida kinachoanza dhidi ya Azm Fc saa 16:00 jioni katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma 1:Peter Manyika 2:Michel Rusheshangoga 3:Shafik Batambuze 4:Juma Kennedy 5:Salum Kipaga 6:Kenny Ally 7:Deus Kaseke 8:Tafadzwa Katinyu 9:Michelle Katsvairo 10:Kiggi Makasi 11:Danny Usengimana Kikosi cha Akiba 1:Said Lubawa 2:Miraji Adam 3:Roland Msonjo 4:Nizar Khalfan 5:Simbarashe Nhivi 6:Atupele Green 7:Yusuph Kagoma KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.  WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA NJOMBE MJI KINACHOANZA DHIDI YA RUVU SHOOTING SEPTEMBER 30-2017

Image
Kikosi cha Njombe Mji Kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting saa 16:00 jioni katika Uwanja wa Mabatini Pwani. 1:David Kisu 2:Agathon Mapunda 3:Innocent Lazaro 4:Taban Kambole 5:Peter Mwangosi 6:Ahmed Tajdin 7:Awadh Salum 8:Jimmy Shoji 9:Gwagaka Mwandambo 10:Ditram Nchimbi 11:Claide Wigenge Kikosi cha Akiba 1:Rahabu Mbululo 2:Christopher Kazinde 3:Joshua John 4:Behewa Sembana 5:Notkely Masasi 6:David N. Obashi 7:Mustapha Bakari. KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.  WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA RUVU SHOOTING KINACHOANZA DHIDI YA NJOMBE MJI SEPTEMBER 30-2017

Image
Kikosi cha Ruvu Shooting kinachoanza dhidi ya Njombe Mji saa 16:00 katika Uwanja wa Mabatini Pwani 1:Abdallah Rashid 2:Abdul Mpambika 3:Yusuph Mguya 4:Renatus Kisase 5:Shaibu Nayopa 6:Baraka Mtuwi 7:Jamal Soud 8:Khasim Dabi 9:Issa Kanduru 10:Said Dirunga 11:Khamis Mcha Kikosi cha Akiba 1:Bidii Hussein 2:George Amani 3:Mau Bofu 4:Kamis Selemani 5:Shabani Msala 6:Ishala Juma 7:Hamis Ismail KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.  WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA DHIDI YA MTIBWA SUGAR SEPTEMBER 30-2017

Image
KIkosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar leo saa 16:00 jioni katika Uwanja wa Uhuru Dar es salaam. 1:Youthe Rostand 2:Juma Abdul 3:Gadiel Michael 4:Andrew Vicent 5:Kelvin Yondani 6:Said Juma Makapi 7:Pius Buswita 8:Raphael Daud 9:Donald Ngoma 10:Obrey Chirwa 11:Ibrahim Ajib Kikosi cha Akiba 1:Beno Kakolanya 2:Mwiji Haji 3:Nadir Haroub 4:Thaban Kamsoko 5:Juma Mahadhi 6:Emmanuel Martin 7:Geofrey Mwashiuya. KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

TAARIFA YA DAKTARI WA YANGA KAMA KAMSOKO ATACHEZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR

Image
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga leo ni kuhusu taarifa za majeruhi kuelekea mechi yao na Mtibwa Sugar 16:00 jioni katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema kuwa Daktari wa timu ya hiyo Edward Bavu amethibitisha kuwa wachezaji wote wanaweza wakatumika kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa isipokuwa Amis Tambwe na Papy Tshishimbi mwenye kadi 3 za njano. Ten anasema Dakatari huyo amemthibitishia Kuwa Amis Tambwe na Tshishimbi ndiyo wachezaji watakaoukosa mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar, huku Tabwe akiwa amerejea kutoka katika majeraha siku za hivi  karibuni kwa sababu hiyo bado hajawa sawa kwa asilimia 100. Jana tulikuwa na taarifa za uwezekano wa kumkosa Thaban Kamsoko katika mchezo wa leo kutokana na kuwa na jeraha la goti sasa ni rasmi Kamsoko yupo fiti kwa asilimia 100.  KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASIL...

HUYU HAPA KOCHA WA MUDA FC BUYERN MUNICH

Image
Baada ya kocha mkuu Buyern Munich Carlos Ancelotti kutfutwa kazi Uongozi wa klabu hiyo umeamua kumpa timu kwa muda Willy Sagnol ambaye pia matokeo yanaweza kuamua nafasi yake. Pamoja na kutumia muda wake mwingi wa soka  katika nchi ya Ujerumani lakini Sagnol sio Mjerumani, Sagnol ni raia wa Ufaransa na alizaliwa Ufaransa katika jiji la Ettiene, hiyo ilikuwa mwaka 1977. Sagnol katikati ya mwaka 2002 na 2009 aliitumikia Bayern Munich katika michezo zaidi ya 180 huku akifanikiwa kubeba makombe 10 na klabu hiyo, ni wazi kwamba anaijua vyema Bayern Munich na anajua utamaduni wa klabu hiyo. Mwaka 2008 Sagnol aliingia katika vichwa vya habari nchini Ujerumani baada ya ugomvi mkubwa kati yake na kocha wa Bayern Munich kipindi hicho Ottmar Hitzfield ugomvi uliopelekea Sagnol kutoswa katika kikosi cha Bayern kilichosafiri kwenda kucheza na St Petersburg. Sagnol mwaka 2000 pia aliingia katika mzozo na klabu ya Ufaransa ya Monaco kuhusu maslahi baada ya Sagnol kudai ya kwamba Monaco w...

WAFAHAMU WACHEZAJI WATANO WANAOTAJWA KUMFUKUZISHA KAZI ANCELOTTI

Image
Baada ya Carlo Ancelotti kupoteza ajira yake katika klabu bingwa ya Ujerumani – FC Bayern Munich kutokana mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha – Rais wa klabu hiyo Uli Hoeness ametaja moja ya sababu kuu zilizosababisha uongozi wa Bayern kuamua kuivunja ndoa yao na Ancelotti. Uli Hoeness anasema kulikuwa na wachezaji wakubwa watano ambao walishakuwa hawana imani na kocha na walianza kumpinga. “Kulikuwa na wachezaji watano ambao walikuwa wanampinga na hilo likawa jamho gumu kwenye utendaji wa kazi,”  aliiambia Funke Sport. “Kama kocha huwezi kuwa na wachezaji wakubwa kwenye kikosi chako ambao wanakupinga. Nimejifunza hili maisha yangu yote na msemo usemao; Adui aliyepo kitandani kwako ndio hatari zaidi.’ Kutokana na jambo hilo ilitubidi kuchukua maamuzi magumu dhidi ya Mr. Ancelotti.” Carlo Ancelotti akiwa na Bayern Munich ana rekodi ya kuiongoza katika mechi 60, wameshinda 42, sare 9 na wamepoteza mechi 9. Timu yake ilifunga magoli 156, na pia waliruhusu magoli 50 kutinga ...

HAYA HAPA MAGAZETI YOTE YA MICHEZO YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 30-2017

Image
KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. W ASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

RATIBA YA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 30-2017

Image
Ligi mbali mbali zitaendelea leo Jumamosi katika mataifa mbali mbali hapa nimekuwekea ratiba ya michezo yote ya leo katika Ligi Mbalimbali Barani Ulaya. England - Premier League September 30 14:30 Huddersfield Town vs Tottenham Hotspur 17:00 AFC Bournemouth vs Leicester City 17:00 Manchester United va  Crystal Palace 17:00 Stoke City vs Southampton 17:00 West Bromwich Albion vs Watford 17:00 West Ham United vs Swansea City 19:30 Chelsea vs Manchester City Italy - Serie A September 30 19:00 Udinese vs Sampdoria 21:45 Genoa vs Bologna Spain - LaLiga Santander September 30 14:00 Deportivo La Coruna vs Getafe 17:15 Sevilla vs Malaga 19:30 Levante vs Alaves 21:45 Leganes vs Atletico Madrid Germany - Bundesliga September 30 16:30 Augsburg vs Borussia Dortmund 16:30 Borussia Moenchengladb vs Hannover 96 16:30 Eintracht Frankfurt vs VfB Stuttgart 16:30 Wolfsburg vs Mainz 05 19:30 Hamburger SV vs Werder Bremen France - Ligue 1 September 30 18:00 Paris Saint Germa...

RATIBA YA SOKA BONGO LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 30-2017

Image
Ligi kuu itaendelea tena leo kwa mzunguko wa tano katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania VPL nijuzehabari imekuwekea hapa Ratiba nzima ya wiki hii soma hapa chini. Klabu ya Yanga itakuwa na kibarua kigumu cha kuwakabili vinara wa Ligi Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo saa 16:00 jioni. Mechi nyingine zitakuwa kati ya Ndanda Fc itakayoikaribisha Lipuli Fc katika uwanja wa Nangwanda Mtwara Singida United itaikaribisha Azam Fc katika Uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma Mwadui Fc itaikabili Mbeya City katika uwanja  wa Mwadui Complex- Shinyanga Mbao Fc itaikaribisha Tanzania Prisons katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza Njombe Mji atakuwa mgeni katika uwanja wa Mabatini- Pwani dhidi ya Ruvu Shooting MajiMaji Fc itakuwa nyumbani katika uwanja wa MajiMaji Ruvuma kuikabili Kagera Sugar ya Mkoan Kagera. Mechi hizi zote zitachezwa leo Jumamosi ya tarehe 30-09-2017 kuanzia saa 16:00 jioni. Kesho Jumapili ya tarehe 01 October 2017 kutakuwa na mch...

HAYA HAPA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 30-2017 PAMOJA NA YA MICHEZO

Image
KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.  WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII