RATIBA YA SOKA BONGO LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 30-2017
Ligi kuu itaendelea tena leo kwa mzunguko wa tano katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania VPL nijuzehabari imekuwekea hapa Ratiba nzima ya wiki hii soma hapa chini.
Klabu ya Yanga itakuwa na kibarua kigumu cha kuwakabili vinara wa Ligi Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo saa 16:00 jioni.
Mechi nyingine zitakuwa kati ya Ndanda Fc itakayoikaribisha Lipuli Fc katika uwanja wa Nangwanda Mtwara
Singida United itaikaribisha Azam Fc katika Uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma
Mwadui Fc itaikabili Mbeya City katika uwanja wa Mwadui Complex- Shinyanga
Mbao Fc itaikaribisha Tanzania Prisons katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Njombe Mji atakuwa mgeni katika uwanja wa Mabatini- Pwani dhidi ya Ruvu Shooting
MajiMaji Fc itakuwa nyumbani katika uwanja wa MajiMaji Ruvuma kuikabili Kagera Sugar ya Mkoan Kagera.
Mechi hizi zote zitachezwa leo Jumamosi ya tarehe 30-09-2017 kuanzia saa 16:00 jioni.
Kesho Jumapili ya tarehe 01 October 2017 kutakuwa na mchezo mmoja kati ya Stand United ya Shinyanga ikiwa nyumbani katika uwanja wa Kambarage Shinyanga kuikaribisha Simba Sc.
KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI.
KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com.
WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII
Klabu ya Yanga itakuwa na kibarua kigumu cha kuwakabili vinara wa Ligi Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo saa 16:00 jioni.
Mechi nyingine zitakuwa kati ya Ndanda Fc itakayoikaribisha Lipuli Fc katika uwanja wa Nangwanda Mtwara
Singida United itaikaribisha Azam Fc katika Uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma
Mwadui Fc itaikabili Mbeya City katika uwanja wa Mwadui Complex- Shinyanga
Mbao Fc itaikaribisha Tanzania Prisons katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Njombe Mji atakuwa mgeni katika uwanja wa Mabatini- Pwani dhidi ya Ruvu Shooting
MajiMaji Fc itakuwa nyumbani katika uwanja wa MajiMaji Ruvuma kuikabili Kagera Sugar ya Mkoan Kagera.
Mechi hizi zote zitachezwa leo Jumamosi ya tarehe 30-09-2017 kuanzia saa 16:00 jioni.
Kesho Jumapili ya tarehe 01 October 2017 kutakuwa na mchezo mmoja kati ya Stand United ya Shinyanga ikiwa nyumbani katika uwanja wa Kambarage Shinyanga kuikaribisha Simba Sc.
KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI.

Comments
Post a Comment