Ungana nasi kila siku kupata Habari za Michezo,Usajili pamoja na Habari nyingine nyingi
HAYA HAPA MAGAZETI YOTE YA MICHEZO YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 30-2017
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI.
KAMA UNA PICHA, VIDEO AU HABARI ZINAZOHUSU MICHEZO AU MATANGAZO WASILIANA NAMI KWA NAMBA,0756658100, email-erickkaberwa2015@gmail.com. WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII
Mlinzi wa Klabu ya Arsenal Laurent Koscielny anatarajiwa kufanyiwa vipimo ili tatizo lake lijulikane kutokana na kuhisiwa amevunjika taya katika kipigo cha mabao 3-1 ilichopata Arsenal mbele ya Manchester United jana kwa mujibu wa Meneja wake Unai Emery. Koscielny alipigwa kiatu cha uso na mshambuliaji Romelu Lukaku na kushindwa kuendelea na mchezo nafasi yake ikachukuliwa na Matteo Guendouzi katika dimba la Emirates. Emery anaumiza kichwa juu ya walinzi wake kufuatia Sokratis Papastathopoulos kuumia enka kwenye mchezo huo ambapo wanaungana na Hector Bellerin na Rob Holding ambao watakuwa nje ya uwanja kwa msimu mzima. Baada ya kumalizika kwa mechi hiyo Emery alitoa taarifa juu ya Koscielny na Sokratis mbele ya Waandishi wa habari akisema: "Nadhani Sokratis hajaumia sana. "Labda Koscielny itakuwa zaidi inabidi kufanyiwa vipimo nadhani amevunjika kidevu au taya lakini sina uhakika mpaka nipate ripoti ya daktari,". Install /Update Application ya Nijuze Haba...
Comments
Post a Comment