Posts

SIJAWAHI ONA UGUMU WOWOTE AU KUWAZA NIRUDI TANZANIA, ABDI BANDA.

Image
Beki wa zamani wa Simba Abdi Hassan Banda ni mmoja kati wachezaji waliyoitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza game ya kirafiki dhidi ya Botswana September 2 2017 uwanja waUhuru, Abdi Banda Msimu huu anacheza Baroka FCya Afrika Kusini. Abdi Banda anaichezea Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini na hivi karibu aliifungia goli muhimu kwenye timu yake ya Baroka dhidi ya Orlando Pirates katika sare ya 1-1,Banda alifunga goli hilo kwa kichwa. “Maisha ya kule sijaona ugumu wowote au kupata mawazo ya kusema nirudi nyumbani au nirudi Tanzania, ilikuwa ni rahisi kupata nafasi ya kucheza maana kule hawaangalia kuwa Banda proffesional wanachoangalia uwezo wako na ukiwa fiti mazoezini” Alisema Abdi Banda. Ndugu Msomaji wa Nijuzehabari Blog Banda alifunguka hayo baada ya kumaliza mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru yanapofanyika kwa siku 4, ambapo kesho Ijumaa watamaliza, na Jumamosi kuwavaa Wabotswana pale Uhuru Majira ya saa 16:00 Jioni. Like Pag...

MBWANA SAMATTA AONGELEA TETESI ZA YEYE KUSAJILIWA NA FENERBAHÇE.

Image
Yakiwa yamebaki masaa kabla ya dirisha la LA Usajili Barani Ulaya kufungwa, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amezungumzia kuhusu tetesi zilizo mhusisha kuijiunga na klabu ya Fenerbahçe inayoshiriki ligi kuu ya Uturuki. Fenerbahçe walitajwa kutaka kumsaini Samatta kutokea KRC Genk anayoichezea kwa sasa nchini Ubelgiji ili kuziba nafasi ya mshambuliaji wao Robin van Persie ambaye umri wake umekimbia kwa sasa... “Sina comment juu ya hilo, siwezi kulizungumzia kwa sababu halijatimia na zilikua rumors mimi sikuzisikia, siwezi kulizungumzia liko nje ya uwezo wangu,” Samatta. Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

PSG YAKUBALI KUMSAJILI MBAPPE KWA DAU HILI HII NDIO FOWADI MPYA.

Image
Paris Saint-Germain's iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambulizi wa Monaco, Kylian Mbappe. PSG imekubali kutoa pauni million 166 ikiwa ni  siku chache tokea itoe pauni million 198 na kuweka rekodi ya usajili kwa kumnasa Neymar kutoka Barcelona. Lengo la PSG ni kupata kikosi imara kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambacho kitangozwa na Mbappe kama Usajili utakamilika, Neymar na Edinson Cavani. Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

HABARI ZOTE ZA MICHEZO NA USAJILI TANZANIA NA NJE.

Image
Habari za Asubuhi mdau wangu wa Nguvu nimekuwekea hapa Habari zote za Michezo na Usajili Tanzania na Nje ya Tanzania kuzisoma zote bofya hapa chini. BOFYA HAPA KUSOMA HABARI ZOTE ZA MICHEZO TANZANIA BOFYA HAPA KUSOMA HABARI ZOTE ZA SIMBA SC BOFYA HAPA KUSOMA HABARI ZOTE ZA YANGA SC BOFYA HAPA KUSOMA HABARI ZOTE ZA USAJILI BOFYA HAPA KUSOMA HABARI ZOTE ZA MICHEZO ZA KIMATAIFA Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

HAYA HAPA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMISI YA TAREHE 31 AUGUST 2017 PAMOJA NA YA MICHEZO.

Image
Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako