PSG YAKUBALI KUMSAJILI MBAPPE KWA DAU HILI HII NDIO FOWADI MPYA.

Paris Saint-Germain's iko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambulizi wa Monaco, Kylian Mbappe.

PSG imekubali kutoa pauni million 166 ikiwa ni  siku chache tokea itoe pauni million 198 na kuweka rekodi ya usajili kwa kumnasa Neymar kutoka Barcelona.
Lengo la PSG ni kupata kikosi imara kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambacho kitangozwa na Mbappe kama Usajili utakamilika, Neymar na Edinson Cavani.


Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

Comments

Popular posts from this blog

Njia sahihi za kuachana na unywaji wa pombe