MBWANA SAMATTA AONGELEA TETESI ZA YEYE KUSAJILIWA NA FENERBAHÇE.
Yakiwa yamebaki masaa kabla ya dirisha la LA Usajili Barani Ulaya kufungwa, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amezungumzia kuhusu tetesi zilizo mhusisha kuijiunga na klabu ya Fenerbahçe inayoshiriki ligi kuu ya Uturuki.
Fenerbahçe walitajwa kutaka kumsaini Samatta kutokea KRC Genk anayoichezea kwa sasa nchini Ubelgiji ili kuziba nafasi ya mshambuliaji wao Robin van Persie ambaye umri wake umekimbia kwa sasa...
“Sina comment juu ya hilo, siwezi kulizungumzia kwa sababu halijatimia na zilikua rumors mimi sikuzisikia, siwezi kulizungumzia liko nje ya uwezo wangu,” Samatta.

Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100.
Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako
Fenerbahçe walitajwa kutaka kumsaini Samatta kutokea KRC Genk anayoichezea kwa sasa nchini Ubelgiji ili kuziba nafasi ya mshambuliaji wao Robin van Persie ambaye umri wake umekimbia kwa sasa...
“Sina comment juu ya hilo, siwezi kulizungumzia kwa sababu halijatimia na zilikua rumors mimi sikuzisikia, siwezi kulizungumzia liko nje ya uwezo wangu,” Samatta.

Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

Comments
Post a Comment