Posts

Maradona ameeleza Fidel Castro alivyookoa maisha yake

Image
 Legend wa soka la Argentina Diego MAradona amesema bado anahisi kwamba mwanamapinduzi wa Cuba bado yuko hai hadi leo kutokana na uhusiano waliojenga wawili hao. Ijumaa Novemba 25, Fidel Castro, kiongozi wa Mapinduzi ya Cuba alifariki dunia. Kifo chake kilitangazwa na kaka yake Raul kupitia television. Amiri jeshi mkuu wa Mapinduzi ya Cuba alifariki saa 22:29 kwa saa za Cuba,” alisema kaka wa Fidel wakati akitangaza kifo cha mdogo wake. Cuba imetangaza siku za maombolezo hadi Disemba 4, siku ambayo Castro atazikwa kwenye jiji la Santiago. “Hii yote inaweza ikachukuliwa poa na ulimwengu wa soka lakini kiongozi huyu mashuhuri aliuangusha utawala wa kibabe na kuanzisha ujamaa mwaka 1959 akiwa pamoja na Che Guevara, alikuwa ni msaada mkubwa kwenye maisha ya Diego Maradona,” anasema fundi huyo wa mpira. Mara ya kwanza Maradona kutembelea Cuba ilikuwa ni mwaka 1986 baada ya kuisaidia nchi yake kutwaa Kombe la Dunia. Maradona alikutana na Castro na alishangazwa na story zake, baada ya...

Hii ndio sababu ya El Classico kutoonyeswa Live ndani ya England.

Image
 Habari zilitoka ni kwamba mechi pendwa ya El Classico haitaonekana Live kwenye Tv za England. Mechi hii itachezwa Dec 3 na kutokana  sheria za kurusha matangazo live siku hiyo inafanya mechi hii isiruke Live ndani ya England. Sheria zinasema kwamba hairuhusiwi mechi yoyote kurushwa live kati ya 2:45pm na 5:15pm kwa siku hiyo. zaidi ya nchi 100 watashuhudia mechi hii ambayo inawahusisha mastaa Ronaldo na Messi. Sky Sport wataonyesha full mechi lakini watachelewa muda kidogo tofauti na kama inavyotokea live duniani kote. Rais wa La Liga alisem,“Mechi haitaonyeshwa Live ndani ya England kutokana na katazo lililo kwenye kurusha mechi live kwa muda huo. Tulikua na nafasi tatu kwa ajili ya mechi hii ambayo ni 1pm,4:15pm na 6:30pm. Baada ya kuongea na washauri wetu wametuambia tucheze kucheza 6pm itakua imechelewa sana kwa Asia na 1pm itakua mapema sana kwa America.” “So tumechagua 4:15. Uchaguzi wa muda ni muhimu kwa kujali idadi kubwa ya watu watakao kuwa affected. Asia na Ame...

THAMINI MTU BY FARAJA NTABOBA UTAZAME HAPA WIMBO UMEBEBA UJUMBE MZITO

Image

Ndege iliyobeba wachezaji wa timu ya soka ya Brazil yaanguka Colombia

Image
Ndege iliyokuwa imewabeba watu 81, wakiwemo wachezaji na maafisa wa moja ya klabu kubwa za soka nchini Brazil, imeanguka ikikaribia mji wa Medellin nchini Colombia na kuua watu 76. Polisi wamesema watu watano walinusurika lakini watu wengine wote waliangamia. Ndege hiyo ya kukodishwa ilikuwa safarini kutoka Brazil ikipitia Bolivia na ilikuwa imewabeba wachezaji na maafisa wa timu ya Chapecoense. Klabu hiyo ilikuwa imepangiwa kucheza mechi ya fainali ya Copa Sudamericana, dhidi ya timu ya Atletico Nacional ya mji wa Medellin. Mechi ya awamu ya kwanza ya kombe hilo, la pili kwa umuhimu Amerika Kusini, ilikuwa imepangiwa kuchezwa Jumatano lakini sasa imesitishwa. Timu hiyo inayotoka mji wa Chapeco, kusini mwa Brazil, ilipandishwa kucheza ligi ya daraja ya kwanza nchini Brazil mwaka 2014 na ilifika fainali ya kombe hilo la Sudamericana kwa kulaza San Lorenzo ya Argentina. Mechi hiyo ilikuwa inatazamwa kama kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo ndogo. Shirikisho la Soka la A...

Tazama Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Novemba 29

Image

UNAIJUA SABABU YA KUCHUJA KWA PENZI LAKO?

Image
Ipo hali ya kujisahau baada ya wapenzi kuwa katika uhusiano kwa muda mrefu, haieleweki kama ni tabia ya mtu ama ni uhalisia wa mambo kwasababu ukweli ulio wazi ni kwamba, mwanzo wa uhusiano wengi hujitahidi kufanya mambo mengi ya kuwafurahisha wapenzi wetu lakini kadiri siku zinavyosogea, penzi huanza kuchuja. Kama huamini katika hili, rudisha nyuma kumbukumbu zako kipindi kile ambacho ndio jamaa kaamua kukueleza wazi kwamba anakupenda halafu angalia na sasa hivi, utabaini kwamba kuna tofauti kubwa sana. Huenda mlikuwa na desturi ya kununuliana zawadi kama maua, kadi, chokoleti tabia hiyo huenda ikawa imeyeyuka, hakuna kati yenu atakayekumbuka kitu hicho, ni wachache sana ambao wanakwenda na wakati ndiyo huendelea kuzingatia hayo. Kuna wale ambao walikuwa na tabia ya kukutana kila mara kimapenzi ambapo kila mmoja alitaka kumuonesha mwenzie jinsi alivyo fundi wa ‘kuyarudi’ ndani ya uwanja wa mapenzi lakini yale manjonjo huadimika kabisa. Kawaida yenu ilikuwa kubadilisha hoteli k...

MANCHESTER UNITED BADO INA NAFASI YA KUTWAA UBINGWA EPL:PEP GUARDIOLA

Image
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kwamba Manchester United bado ipo kwenye mbio za kushinda ubingwa wa EPL, sambamba na Man City, Chelsea, Liverpool, Spurs na Arsenal. Katika mahojiano na Televisheni ya klabu alisema. “Ligi ya mwaka huu haitabiriki na utabiri ni vyema ukaanza kufanyika katika miezi miwili au mitatu ya mwisho. Manchester City ambayo ipo katika nafasi ya tatu ikiwa na alama 30 sawa na Liverpool bado inampa matumaini ya ubingwa Guardiola ambaye ameeleza kufurahia nafasi hiyo kutokana na kuwa timu zilizo juu yake yaani Chelsea na Liverpool zimewekeza nguvu zaidi kwenye EPL kwakuwa hazishiriki michuano ya Ulaya huku timu yake ikiwa inashiriki UEFA. Guardiola ameisifu Chelsea kwa mfumo wa kutupa kijembe kuwa umahiri wa Chelsea unatokana na kutupwa nje ya kombe la ligi, hivyo kusalia katika mashindano mawili tu ya ndani. Amesema “Chelsea inacheza mara moja kwa wiki. Ni rahisi kujiandaa vizuri, Kupona vizuri na kujiandaa kikamilifu kwaajili ya michezo ya wiki...