Changudoa Afunguka ‘Nilishawahi Kulala Na Wanaume 5000’



Msichana ambae anadai kuwa yeye ndie malikia wa machangudoa nchini Ghana ameweka wazi kuwa amewahi kulala na zaidi ya wanaume 5000 ili kupata pesa ambazo zilimsaidia kuishi maisha ya kifahari.



Amedai kuwa watu wengi wamekua wakikosa imani nae kwakua alikua ananukia miti shamba kutoka nchi Ivory Coast ambazo alikua anapaka kwenye sehemu zake za siri wakati akiwa anafanya mapenzi, anadai kuwa alikua msafi sehemu hizo.



Kwa ushuhuda wake, amedai kuwa hakuweza kusikia maumivu baada ya kulala na wanaume 20 kwasababu ya dawa alizokuwa anatumia  kwani zilifanya sehemu zake za siri kuwa tight.

Muhudumu huyo wa zamani wa club anadai wengi aliowahi kulala nao walikua wanamlalamikia juu ya wake zao kuwa wachafu.



Mama huyo wa machangudoa amefunguka kuwa alikua anavaa smart na kuwa msafi muda wote na wateja wake (boyfriends) wakiwa wanakuja wanamkuta msafi .

Kwa maoni yake, baadhi ya wanawake waliolewa ndio wanawapa wanaume sababu za kuwasliti kutokana na tabia zao, nakuongeza kuwa wanarelax baaada ya kuwekewa pete kidoleni na hawajitumi sana.



Katika interview aliyoifanya na kituo cha redio nchini humo alidai

‘Nimelala na wanaume zaidi ya 5000, watu wengi hawaniami nikiwa nawaambia. Na hakuna mwanaume niliyelala nae alikua na shida na mimi , kwasababu nilikua msafi nje ndani, ingawa nilitumia dawa za kiganga kuwavutia.

Kilichosababisha stori hii kuwa ya kuoghofya nchini humo ni baaadhi  wadada kudaiwa kwenda mto god kwenda kuchukua madawa ambayo yatawafanya kuwalazimisha wanaume wawanunulie nyumba.

from UDAKU SPECIAL BLOG

Comments

Popular posts from this blog