VIDEO: Kagere, Nyoni watamba tuzo za Mo Dewji/ Okwi, Niyonzima na Salamba wabaki hoi
Hatimaye tuzo za MoSimbaAwards ambazo zilianzishwa na mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba Mohammed Dewji "Mo Dewji" kuanzia mwaka jana, zimetolewa tena leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency zamani ikifahamika kama Kilimanjaro Hotel iliyopo jijini Dar es Salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
from MUUNGWANA BLOG
Comments
Post a Comment