Orodha kamili ya washindi wa MO Simba Awards 2019
Usiku wa kuamkia leo kulitolewa tuzo za Mo Simba Awards 2019 katika hoteli ya Hyatt Regency - The Kilimanjaro iliyopo Jijini Dar es Salaam. Chini ni majina ya washindi.
1. Aishi Manula ameshinda Tuzo ya Golikipa Bora wa Mwaka.
2. Erasto Nyoni ameshinda Tuzo ya Beki Bora wa Mwaka.
3. ames Kotei ameshinda Tuzo ya Kiungo Bora wa Mwaka.
4. John Bocco ameshinda Tuzo ya Mshambuliaji Bora wa Mwaka.
5. Rashid Juma ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Mdogo wa Mwaka.
6. Mwanahamisi Omary Shurua ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Mwanamke wa Mwaka.
7. Erasto Nyoni ameshinda Tuzo ya Wachezaji.
8. Meddie Kagere ameshinda Tuzo ya Mfungaji Bora wa Mwaka.
9. Tuzo ya Heshima imekwenda kwa Azim Dewji.
10. Goli la Clatous Chama dhidi ya Nkana limeshinda
Tuzo ya Goli Bora la Mwaka.
11. Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Mo Simba 20
from MUUNGWANA BLOG
Comments
Post a Comment