MESSI AIPA BARCELONA TAJI LA NANE LA LIGA NDANI YA MIAKA 11

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 62 ikiilaza Levante 1-0 Uwanja wa Camp Nou na kujihakikishia taji la pili mfululizo la La Liga na la nane ndani ya misimu 11 


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

Comments

Popular posts from this blog