Popular posts from this blog
Kanuni za ufugaji bora wa mbuzi
Ili uweze kuwa mfugaji bora wa mbuzi yapo mambo ya muhimu unayopaswa kuyafahamu, mambo hayo yatakusaidia kwa namna moja ama nyingine kuweza kusonga mbele kwenye suala la mafanikio ya kiufugaji. Yafutayo ndiyo mambo ya msingi ya kuzingatia katika ufuagaji wa mbuzi. Namna bora ya ufugaji. 1. Wafugwe kwenye banda bora. 2. Chagua mbuzi kulingana na sifa zao na lengo la ufugaji (uzalishaji) nyama au maziwa. 3. Walishwe chakula sahihi kulingana na umri wa mbuzi. 4. Kuzingatia ushauri wa mtaalamu wa mifugo hasahasa namna ya udhibiti wa magonjwa hili ni jambo la muhimu sana. 5. Kuweka kumbukumbu za uzalishaji. 6. Kuzalisha nyama au maziwa bora yanaokidhi mahitaji ya soko. Sifa za banda bora la kufugia mbuzi. 1. Banda bora linatakiwa liwe ni lenye kuweza kuwakinga mbuzi au kondoo na mashambulizi ya wanyama wakali (hatari) na wezi. 2. Liwepo sehemu ambayo maji hayawezi kutuama. 3. Mabanda yatenganishwe kulingana na umri. 4. Liwe na ukubwa ambao linaweza kufanyiwa usafi. K...
Comments
Post a Comment