DC Jokate Atamani Kuwa na Mume, Hivi Ndivyo Vigezo Alivyovitaja
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwengelo amesema kuwa anatamani kuwa na Familia akimaanisha Mume na Watoto.
Jokate amesema kuwa kupata familia ni wakati wa Mungu ni wakati sahihi na angependa kuwa na familia.
"Kiukweli natamani kuwa na Familia yangu, natamani kuwa na mume wangu na watoto wangu na naamini Mwenyezi Mungu akijaalia ntakuwa nao nikitu ambacho ningependa kuwa nacho, God is Timing is the best," Jokate amesema.
"Kwasasa ningependa kuwa na mtu ambaye ni muelewa sana kwasababu kazi za uongozi si lele mama, awe Mcha Mungu kwasababu changamoto ni nyingi bila kuwa na Mungu huwezi kukabiliana na hizo changamoto."
from UDAKU SPECIAL BLOG

Comments
Post a Comment