VIDEO: Masoud Kipanya atoa siri nzito kuhusu Ruge Mutahaba
Mtangazaji wa Clouds FM, Masoud Kipanya akizungumzia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambaye amefariki hapo juzi, February 26 mwaka huu akiwa anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, PIA SUBSCRIBE......
from MUUNGWANA BLOG
Comments
Post a Comment