VIDEO: Kwaniaba ya CCM tunapenda kutoa pole kwa familia ya Ruge - Humphrey Polepole
Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akizungumzia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambaye amefariki hapo juzi, February 26 mwaka huu akiwa anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, PIA SUBSCRIBE..........
from MUUNGWANA BLOG
Comments
Post a Comment