VIDEO: Alichozungumza Ommy Dimpoz Msibani kwa Ruge Mutahaba
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akizungumzia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambaye amefariki hapo juzi, February 26 mwaka huu akiwa anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, PIA SUBSCRIBE..........
from MUUNGWANA BLOG
Comments
Post a Comment