RAO HEALTH TRAINING CENTRE RORYA YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

MKUU WA CHUO CHA RAO HEALTH TRAINING CENTRE RORYA ANATANGAZA KUPOKEA MAOMBI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KWA INTAKE YA MARCH-APRIL

 KATIKA KOZI ZIFUATAZO:

 1. ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE (AFISA TABIBU) MIAKA 3 SIFA ZA MWOMBAJI:

 AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA ANGALAU ALAMA 'D' IKIWEMO FIZIKIA'D' BIOLOJIA'D' KEMIA’D’ NA IKIWEMO HESABU NA ENGLISH NI KWA NYONGEZA KWA MASOMO MOJAWAPO.

 2. CETIVICATE IN IN CLINICAL MEDICIN (AFISATABUBU MSAIDIZI) MIAKA MIWILI

SIFA ZA MWOMBAJI:
 AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA MASOMO ANGALAU ALAMA 'D' IKIWEMO MASOMO YA FIZIKIA'D' BIOLOJIA 'D' CHEMIA'D' NA IKIWEMO HESABU NA KINGEREZA KWA MASOMO MOJAWAPO

3. CETIVICATE IN IN COMMUNITY HEALTH (UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII MWAKA MMOJA

 SIFA: AWE NA UFAULU WA KIDATO CHA NNE KWA MASOMO ANGALAU AWE AMEPATA 'D' NNE IKIWEMO SOMO LA BIOLOJIA YOTE HAYA YANAZINGATIWA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA NACTE CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBA R EG/HAS/110 ADA ZETU NI NAFUU SANA NA ZINALIPWA KWA AWAMU NNE MPAKA TANO.

FOMU ZINAPATIKANA CHUONI RAO MKOA WA MARA WILAYA YA RORYA AU KWENYE WEB SITE YETU www.raocoop.org 

au wasiliana nasi kwa Email raohtc@raocoop.org au 0753624780 / 0758084663 / 0757862200 / 0763358409 / 0785191131/ 0784383329

WAHI SASA NAFASI NI CHACHE!!!!!! ALL COREESPONDENCES BE ADDRESS TO THE DIRECTOR GENERAL














from MUUNGWANA BLOG

Comments

Popular posts from this blog