UWOYA ALIVYOMKWEPA DOGO JANJA

Msanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya hataki kujibu kuhusu mahusiano yake na msanii Dogo Janja.

Alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusu kauli ya kaka yake aliyodai kuwa Dogo Janja alikuwa hatambuliki hata nyumbani kwao alijibu;

"Siwezi kulizungumzia hilo suala, sikusikia akilizungumzia hilo, hivyo siwezi kusema chochote, no comment," alieleza Irene Uwoya kwenye redcapet ya shoo ya AliKiba.

Dogo Janja na Irene Uwoya walifunga ndoa mwaka jana ingawa tukio hilo lilikuwa la siri sana.

Install Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi

=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Comments

Popular posts from this blog