Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kuwataarifu wasafirishaji na umma kwa ujumla kuwa Sheria ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Vehicle Load Control Act, 2016) na Kanuni zake za mwaka 2017 itaanza kutumika rasmi nchini Tanzania kuanzia tarehe 1 Januari, 2019.
Install Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Comments
Post a Comment