RICH MAVOKO AMTAJA MSANII WA ZAMANI ANAYEMKUBALI
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko Juma amefunguka msanii wa zamani aliyekuwa anamkubali.
Rich Mavoko amesema kuwa wasanii wa zamani msanii aliyekuwa anamkubali ni Juma Nature.
"Tulikuwa tunawaza tufanye kitu cha kizamani. Watu wa zamani ambao nilikuwa nawakubali na kusikiliza ngoma za ni Juma Nature, " alisema Mavoko XXL.
Install Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Comments
Post a Comment