NI RAHISI KWETU KUSHINDA NJE KULIKO UWANJA DAR - ZAHERA
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amefunguka kuhusu matokeo mazuri ya ushindi ambayo wameyapata katika mzunguko wa kwanza. Zahera amesema kuwa kwa upande wake na kikosi chake ni rahisi zaidi kupata matokeo mazuri katika viwanja vya ugenini kuliko uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Install Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Install Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Comments
Post a Comment