CHELSEA YAIGOMEA BUYERN MUNICH
Klabu ya Chelsea imekataa dau la zaidi ya paundi milioni 20 kutoka kwa klabu ya Bayern Munich kwaajili ya mchezaji Callum Hudson-Odoi, Sky Sports News understands.
Chelsea imeiambia Bayern kwamba nyota wao huyo anathamani ya paundi milion 40.
Wapinzani wa Bayern kalika ligi kuu ya Ujerumani Borussia Dortmund nao wanamuhitaji mchezaji huyo ambaye mkataba wake na klabu ya Chelsea unamalizika mwaka 2020.
Install Application ya Nijuze Habari Uweze Kupata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Comments
Post a Comment