VIBALI VYAUKWAMISHA MKUTANO MKUU WA DHARURA WA YANGA
Uongozi wa klabu ya Yanga kesho Jumamosi saa mbili na nusu asubuhi unatarajiwa kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya klabu hiyo jijini Dar es salaam.
Aidha mkutano huo wa mapema katika makao makuu ya klabu unadaiwa kuwa utakuwa wa kuelezea sababu za kutofanyika kwa mkutano mkuu wa dharura.
Inaelezwa kuwa Yanga bado hawajapata vibali kwa ajili la kufanya Mkutano Mkuu wa dharura ambao umepangwa kufanyika kesho Jumamosi ya December 01 kwenye ukumbi wa PTA Jijini Dar es salaam.

Comments
Post a Comment