TAARIFA KUHUSU MKUTANO MKUU WA DHARURA WA YANGA

Mkutano Mkuu wa dharura ulioitishwa na uongozi wa Yanga unatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi ya December 01 2018 kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba Jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zimebainisha kuwa Mkutano huo utahudhuriwa na Yusufu Manji ambaye bado anatambuliwa kama Mwenyekiti wa Yanga licha ya TFF kuendelea na mchakato wa kusaka mbadala wake.

Mkutano huo utakuwa na ajenda Kuu tatu.

Comments

Popular posts from this blog