SIMBA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Leo Ijumaa ya Novemba 30 2018 saa tano na nusu, uongozi wa klabu ya Simba utakuwa na mkutano na waandishi wa habari.
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu, Msimbazi jijini Dar es salaam.
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu, Msimbazi jijini Dar es salaam.
Comments
Post a Comment