RATIBA YA RAUNDI YA AWALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP 2018/19

Hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajia kuchezwa kati ya December 3 na 4, mwaka huu.

Hatua hiyo ya awali itashirikisha timu 36, Raundi ya Kwanza itachezwa kati ya December 8 na 9 mwaka huu ikishirikisha timu 32.


Timu 40 zitashiriki katika raundi ya Pili itakayochezwa kati ya December 14 hadi 16, 2018.

HII HAPA NI RATIBA KAMILI

Jumatatu ya December 03-2018
16:00 Geita Electric (Geita) Vs Munanira (Kigoma) kwenye Uwanja wa Nyakumbu Girls Geita.

16:00 Majimaji FC (Tabora) Vs Ambassador (Simiyu) kwenye Uwanja wa Al Hassan Mwinyi Tabora

16:00 Boko (Shinyanga) Vs Hawise (Mara) kwenye Uwanja wa Kambarge Shinyanga

16:00 Sharp Straikers (Tanga) vs Uzunguni (Kilimanjaro) kwenye Uwanja wa Koromgwe Tanga

16:00 Ngamu (Singida) vs Babati (Manyara) kwenye Uwanja wa Namfua Singida

16:00 Mbuni (Arusha) vs La Familia (Kilimanjaro) kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Arusha

16:00 Mji Mpwapwa (Dodoma) vs Kagera (Kagera) kwenye Uwanja wa Mgambo, Mpwapwa Dodoma

16:00 Derpotivo (Morogoro) vs Karume Market (Dar) kwenye Uwanja wa Ifakala, Morogoro

16:00 Baga Friends (Pwani) vs Makongo High School (Dar) kwenye Uwanja wa Bagamoyo, Pwani

16:00 Kilwa Youth (Lindi) vs Zakhiem (Dar) kwenye Uwanja wa Ilulu Lindi

16:00 Black Belt (Ruvuma) vs Mucoba (Iringa) kwenye Uwanja wa Majimaji Ruvuma

16:00 Mitumba FC (Rukwa) vs Vwawa (Songwe)  kwenye Uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga Rukwa

16:00 Jajojo Mills (Mbeya) vs Sodeko FC (Ruvuma) kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya

Jumanne ya December 04-2018 
16:00 Bariadi United (Simiyu) vs Tabora FC (Tabora) kwenye Uwanja wa Halmashauri Bariadi Simiyu

16:00 Twiga (Mwanza) vs Shinyanga (Shinyanga) kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

16:00 Temeke Squard (Dar) vs Pan African (Dar) kwenye Uwanja wa Bandari College Dar

16:00 Stand FC (Mtwara) vs Mwena FC (Mtwara) kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara

16:00 Livingstone (Njombe) vs Nyundo (Katavi) kwenye Uwanja wa Sabasaba, Njombe

Comments

Popular posts from this blog