RASMI SIMBA YAMTAMBULISHA ZANA COULIBALY

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa beki wa kulia Zana Coulibaly kutoka klabu ya Asec Mimosas ya ivory Coast.

Coulibaly aliyefuzu vipimo vya afya jana amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Coulibaly raia wa Burkina Faso amesajiliwa rasmi leo Ijumaa mchana na alikabidhiwa jezi yaa Simba nambari 21 na kocha Mkuu Patrick Aussems mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Simba Cresentius Magori.

Comments

Popular posts from this blog