RASMI MWAMBELEKO ATUA KCB
Klabu ya KCB inayoshiriki ligi kuu ya Kenya imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Simba Jamal Mwambeleko ambaye alisajiliwa na Singida United kwa mkopo
Mwambeleko ametambulishwa rasmi na klabu hiyo jana baada ya kukamilisha taratibu za usajili.
Mchezaji huyo alijiondoa katika klabu ya Singida United mwezi uliopita baada ya timu hiyo kushindwa kumlipa mshahara kwa zaidi ya miezi mitatu
Singida United imepoteza zaidi ya wachezaji watano mpaka sasa ambao wameondoka kutokana na kukosa mishahara kwa muda mrefu.
Matatizo hayo yameigutusha klabu ya Simba ambayo imesema haitakuwa tayari kuwapeleka wachezaji wake kwa mkopo kwenye timu ambazo hazitakuwa na uwezo wa kulipa mishahara yao.

Comments
Post a Comment