RONALDO AMPIGA CHINI SELENA GONEZ KWA FOLLOWERS INSTAGRAM
Hatimaye muimbaji Selena Gomez ameondolewa usukani wa watu wenye followes wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram.
Mreno Cristiano Ronaldo ambaye anakipiga kunako klabu ya Juventus kwa sasa ndiye anaongoza akiwa na followers Milioni 144 sawa na Selena Gomez ila kuna tofauti.
Ronaldo amefikisha followers 144,305,164+huku Selena akiwa na 144,304,857+.
Hivyo sasa Cristiano Ronaldo ndiye anakuwa mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram duniani kote.
Tazama chini watu wengine 10 wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo.

Comments
Post a Comment