NIYONZIMA AWASHANGAA WAANDISHI WA HABARI
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Kamati ya nidhamu ya klabu ya Simba inayoongozwa na Suleimani Kova imemwita na kumhoji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Haruna Niyonzima kufuatia uwepo wa madai ya utovu wa nidhamu, Niyonzima amefunguka kuhusu tuhuma hizo.
Habari hizo ziliendelea kueleza kuwa Niyonzima aliitwa na kuhojiwa huku ikielezwa pande zote zimeshindwa kufikia muafaka, kamati ilikutana na kigingi baada ya kiungo huyo kuonyesha mkataba wake ambao anadai mabosi wake wameshindwa kuutimiza matakwa ya mkataba kama walivyokubaliana.
HARUNA NIYONZIMA AMESEMA👇👇👇
“Mimi ata sijui ila sijaongea nao unajua waandishi wa hapa wana matatizo sana,ila nitadili nao waache”
“nipo salama na klabu yangu na kutopangwa ni jambo la kawaida na sipo peke yangu . Muda utafika nitacheza . Hayo ya kusema nimekaa kikao na klabu kuhusu mimi kugoma siyajui kabisa “

Comments
Post a Comment