LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA 12 KUKAMILIKA LEO JUMATANO
Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) inatarajiwa kuendelea leo Jumatano ya October 31 kwa mchezo nmoja tu unaokamilisha raundi ya 12.
Baada ya Ligi hiyo kuendelea juzi na jana msimamo wa ligi unaonesha Azam akiendelea kushikilia usukani kwa jumla ya pointi 27 baada ya michezo 11, huku Yanga ikirejea kwenye nafasi yake ya pili ikiwa na ponti 25 baada ya michezo 9 na Simba ikiwa nafasi ya tatu kwa pointi 23 baada ya michezo 10.
Mchezo huo unaokamilisha raundi ya 12 mzunguko wa kwanza wa msimu huu wa 2018/2019 utazikutanisha KMC ya Dar es salaam dhidi ya Ndanda Fc ya Mtwara.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 16:09 kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

Comments
Post a Comment