WACHEZAJI WANAOIHAMA ARSENAL WANA NUKSI
Na Yego Sholla
Aliyekuwa mchezaji wa Arsenal Alexander Hleb aliwahi kusema mchezaji anaayehama Arsenal hawezi kufanikiwa anapoelelekea. Nadhani ndiye mtu aliwafumbua watu akili tukaanza kufuatilia kwa umakini wachezaji waliotoka timu hiyo kwenda timu nyingine.
#ThieryHenry
Huyu anachukuliwa all time best player wa EPL, alifanya kila kitu akiwa Arsenal na timu ya Taifa. Alichukua EPL, FA, World Cup, akawa mchezaji bora EPL mara kadhaa na akakokosa uchezaji bora wa dunia. Wengi wanasema alikuwa na bahati mbaya kuzaliwa kipindi cha kina Zidane, Ronaldinho na De Lima.
Alipoenda Barcelona pamoja na kuchukua La liga na CL hakuwa Henry wa Arsenal. Hakuchezeshwa kama mshambuliaji tena bali kama winger ya kushoto mbele akicheza Etto na baadae Zlatan. Hakuwa 'mungu' tena kama ilivyokuwa Highbury. Mwisho alienda kumalizia mpira wake Marekani.
#VanPasie
Huyu anachukuliwa kama mshambuliaji wa kuaminika baada ya Thiery Henry pale Arsenal. Aliondoka Arsenal kuelekea Man Utd msimu wa 2012/2013. Baada ya hapo aliwaka msimu mmoja alipoiwezesha Man Utd kutwaa kombe la 20 la ligi na la mwisho. Leo namuona Fayernod. Hajulikani ni legend wa timu gani Arsenal, Man Utd au Fayernod.
#AlexanderSong
Huyu anachukuliwa kiungo mkahaji bora kutokea pale Arsenal baada ya Vieara. Mashabiki wanamkumbuka akikunja bukta mguu mmoja akikaba mpaka kivuli. Wanakumbuka pamoja na kukaba, pasi zake ndefu kwa Van Pasie
Baada ya kuwaka akaamia Barça akapigwa bechi akapotea
#CescFabrigase
Baada ya Rooney sijui mchezaji mwingine aliyepata sifa akiwa mdogo kama huyu. Aliupiga! Nakumbuka pundits wakimtabiria kuwa mchezaji bora wa dunia kabla ya kufikisha miaka 25
Alilazimisha kuondooa Arsenal na kuna fununu kwamba alinunua mkataba kuondoka Arsenal. Akapigwa benchi Barça na sasa yuko Chelsea. Angalau Conte amempa nafasi lkn hajulikani kama ni legend wa Chelsea, Barça au Arsenal.
#SamirNasry
Huyu aliupiga kweli na alichukuliwa kiungo bora kabisa. Akagombana na Gallas na Van Pasie, akalazimisha kuondoka. Kilichomkuta kila mtu anajua
#GalClichy
Kipindi chake akiwa Arsenal ilikuwa anashindanishwa na Patrice Evra ni nani bora kwenye Epl wakati huo.
Akaenda Man City. Baada ya hapo kilichofuata ni story. Kwenye list hiyo ongeza Bakari Sagna na #EmmanuelAdebayo.
Sanchez bado namtetea, mchezaji huyu hakuwahi kupumzika wala kuwa na pre season na wenzake tangu mwaka 2014. Wengine wakipumzika yeye yuko kwenye majukumu ya taifa tangu kombe la dunia mpk Copa America.
Hata hivyo kichwani anatakiwa ajue kuna mkosi uliwaandama wenzake unaweza kumfuata pia.

Comments
Post a Comment