UFARANSA VS COLOMBIA FULL TIME
Na Yego Sholla
Ufaransa wakitangulia kwa magoli ya haraka haraka kutoka kwa Olivier Giroud na Thomas Lemar, yaliwapa uongozi dhidi ya Colombia.
Lakini magoli kutoka kwa Luis Muriel, Radamel Falcao na Juan Quintero yametosha kuizamisha Ufaransa na kuipa ushindi wa 3-2 Colombia .

Comments
Post a Comment