SIMBA VS YANGA KUPIGWA TAREHE HII

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Mtendaji Mkuu, Boniface Wambura leo imetangaza rasmi tarehe ambayo Watani wa Jadi Simba na Yanga watacheza.

Timu hizo sasa zitacheza tarehe 29 Aprili mwaka huu, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mechi ambayo Simba atakuwa mwenyeji wa pambano hilo.

Awali Bodi ya Ligi ilikuwa haijaweka tarehe hiyo wazi kutokana na mambo mbalimbali kuingiliana na kufanya ratiba ya mchezo huo kutopangwa kwa wakati.

Comments

Popular posts from this blog

Njia sahihi za kuachana na unywaji wa pombe