ROMELU LUKAKU MAMBO NI HIVI 💯🔥

Na Yego Sholla

Baada ya kufunga goli moja leo dhidi ya Swansea City, Romelu Lukaku amefunga jumla ya magoli 100 katika mechi za Ligi kuu ya Uingereza.
.
.
Lukaku amefanikiwa kukipiga vilabu vya Chelsea, West Brom, Everton na Sasa Manchester United.
.
.
Lukaku amefanikiwa kufanya hivyo akiwa na umri wa miaka 24.

Comments

Popular posts from this blog