REAL MADRID MAMBO SAFI YAINYUKA LAS PALMAS 3-0

Na Yego Sholla

Full Time: La Liga

Real madrid wamefanya mazoezi ya kujiandaa na mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuitungua Las Palmas 3-0.

Magoli mawili ya Gareth Bale na moja la Karim Benzema yametosha kuipa pointi tatu Real Madrid na kuendelea kubaki ndani ya timu nne za juu.

Next : katikati ya Wiki dhidi ya Juventus , UEFA.

Comments

Popular posts from this blog