RATIBA YA LEO JUMAMOSI MARCH 31-2018, AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Hatua ya robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajia kuendelea kutimua vumbi leo Jumamosi ya March 31-2018 kwa kupigwa michezo miwili.
Baada ya Stand United 'chama la wana' kutoka mkoani Shinyanga kutangulia Nusu Fainali katika michuano hii, hapo jana hii ni baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Njombe Mji, robo Fainali hiyo inatarajiwa kuendelelea leo Jumamosi kwa michezo miwili.
Mchezo wa kwanza robo Fainali ya leo unatarajiwa kuanza majira ya 16:00 mchana kwa Tanzania Prisons kuivaa JKT Tanzania, mchezo huo unatarakiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya.
Na mchezo wa pili utakuwa kati ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex, mchezo utaanza saa 19:00 usiku.

Comments
Post a Comment