PORTUGAL VS EGYPT FULL TIME
Na Yego Sholla
Goli la nyota wa Liverpool MO Salah liliipa uongozi Misri katika mechi ya ugenini dhidi y Ureno kabla ya mwenye mahaba yake na wavu Cristiano Ronaldo kufunga mara mbili dakika ya 92 na 94 kuipa Ureno ushindi wa 2-1 .

Comments
Post a Comment